Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili – Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake – na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili – English) Lulu can't fall asleep. All her cuddly toys are dreaming already – the shark, the elephant, the little mouse, the dragon, the kangaroo, and the lion cub. Even the bear has trouble keeping his eyes open ... Hey bear, will you take me along into your dream? Thus begins a journey for Lulu that leads her through the dreams of her cuddly toys – and finally to her own most beautiful dream. ► With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
This will help us customize your experience to showcase the most relevant content to your age group
Please select from below
Login
Not registered?
Sign up
Already registered?
Success – Your message will goes here
We'd love to hear from you!
Thank you for visiting our website. Would you like to provide feedback on how we could improve your experience?
This site does not use any third party cookies with one exception — it uses cookies from Google to deliver its services and to analyze traffic.Learn More.